29.11.2017 Matangazo ya Asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 29.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

29.11.2017 Matangazo ya Asubuhi

Miaka miwili iliyopita, viongozi wakuu wa Ulaya na wa Afrika walikutana kwenye kisiwa cha Malta katika Bahari ya Mediterenia kuangazia vita dhidi ya uhamiaji haramu, lakini miongoni mwa ahadi walizowekeana wakati huu, ni chache tu ndizo zilizotekelezwa hadi sasa na pande zote mbili// Marekani ipo katika hatua ya kubadili sera yake kuhusu Korea Kaskazini.

Sikiliza sauti 51:59