1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.10.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S29 Oktoba 2021

Mgogoro nchini Sudan unapeleka mawimbi ya mshtuko nje ya bara la Afrika+++Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anaingia katika mkutano wa viongozi wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 unaofayika mjini Roma akitokea katika ziara yake katika mataifa matatu ya Afrika+++Kiwango cha hatua tunazohitaji kuchukuwa ili kuyalinda mazingira ni kubwa na zinatakiwa kuchukuliwa haraka.

https://p.dw.com/p/42KWi