29.09.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 29.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

29.09.2021 Matangazo ya Mchana

Wajerumani wanasubiri kwa hamu kubwa serikali mpya ya muungano/ Laschet ameshikilia kikiki kwamba anataka kuunda serikali licha ya chama chake kushindwa. Je, ni hali ya kuwa king'ang'anizi tu au ana nafasi gani ya kufanikiwa?/ Umoja wa Mataifa hatiani kuhusu unyanyasaji wa kingono DRC/ Magaidi wa IS washaingia Sudan?/ Wasiwasi juu ya Rwanda kupanua ushawishi wake Afrika

Sikiliza sauti 60:00