1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.09.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S29 Septemba 2021

Afisa wa ngazi ya juu katika jeshi la Marekani alipendelea zaidi hatua ya kuwabakisha wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan ili kuepusha kuporomoka kwa serikali ya Kabul/ Rwanda yakiri kupoteza askari wanne huko Cabo Delgado/ Uganda: Wabunge walioachiwa kwa dhamana wamefikishwa tena mbele ya hakimu na kusomewa mashtaka ya mauaji/ COVID-19 imeathiri juhudi za kupambana na Malaria

https://p.dw.com/p/413PC