29.09.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 29.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

29.09.2020 Matangazo ya Jioni

Tanzania- Tundu Lissu ambaye alitakiwa kufika mbele ya kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi amesema hatofanya hivyo kwa sababu chombo hicho hakikufuta utaratibu// CCM, CHADEMA na CUF zaendelea na kampeni za urais// Kila upande unaeleza kuathirika kwa kiasi kikubwa wakati huu ambapo mapigano yakiendelea kati ya Majeshi ya Azerbaijan na Armenia.

Sikiliza sauti 60:00