1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.08.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S28 Agosti 2019

Mgombea alieshindwa kwenye uchaguzi wa rais katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Martin Fayulu ameunda vuguvugu jipya la upinzani kwa ajili yakile anachoita kuwa ni kudai maslahi ya wananchi na matokeo sahihi ya uchaguzi// Japan hii leo imeandaa mkutano wa maendeleo na viongozi wa Afrika.

https://p.dw.com/p/3OdEr