1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.08.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S29 Agosti 2019

Kiongozi wa tawi la kijeshi la chama cha upinzani cha RENAMO nchini Msumbiji, Jenerali Mariano Nhongo ametishia kuzuwia uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Oktoba hadi pale serikali itakapojadili upya mkataba wa amani na kundi hilo// Vita dhidi ya ugonjwa wa Ebola mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vinakumbwa na vigingi vingi.

https://p.dw.com/p/3OfOl