1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.07.2022 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S29 Julai 2022

Biden na Xi Jinping kufanya mkutano wa ana kwa ana baada ya kutumia zaidi ya saa mbili kujadili hatma ya uhusiano wao tete pamoja na kuibuka tena mvutano kuhusu Taiwan+++Urusi yaishambulia Kyiv kwa mara ya kwanza katika wiki kadhaa+++Maandamano ya kuupinga utawala yasimaisha shughuli kwenye mji mkuu wa Guinea, Conakry+++Kongamano la Kimataifa la UKIMWI laanza Canada.

https://p.dw.com/p/4Eqog