Mwili wa rais wa awamu ya tatu wa Tanzania Benjamin Mkapa unatarajiwa kupumzishwa hii leo kijijini kwao Lupaso/ Ibada ya Hijja yaanza chini ya kiwingu cha COVID-19/ Idadi kubwa yaathirika kwa COVID-19 India/ Yemen Kusini waachana na tangazo la kujitawala ili kusaka amani