NATO yajiandaa kuongeza wanajeshi na silaha Ulaya Mashariki/ Kenya: Waziri wa usalama wa ndani ametangaza mabadiliko katika uongozi wa maafisa wa polisi na kuamrisha oparesheni kali dhidi ya makundi ya kihalifu Nakuru/ Hali ya kisiasa nchini Libya/ Congo: Wanawake wa Kivu Kusini wamemtaka rais Tshisekedi atangaze kwa uwazi makubaliano yaliyo sainiwa hapo awali kati ya serikali na waasi wa M23