1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.06.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S29 Juni 2021

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amehukumiwa kifungo cha miezi 15 jela baada kupuuza amri ya mahakama+++Serikali ya Tanzania imesema kuwa bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali- Waziri mkuu Kassim Majaliwa+++Mchakato wa kukata rufaa kesi ya BBI iliyotupwa nje na mahakama kuu na kusitisha shughuli ya kuandaa kura ya maoni umeanza leo+++Euro 2020- Ujerumani dhidi ya England.

https://p.dw.com/p/3vlvS