1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.06.2019 Taarifa ya habari asubuhi

29 Juni 2019

Rais Donald Trump kukutana leo na mwenzake wa China Xi Jinping pembezoni mwa mkutano wa G20 // Umoja wa Ulaya watangaza kuwa mfumo wa INSTEX wa kuwezesha biashara na Iran umeanza kufanya kazi jana Ijumaa // Na Italia imewaruhusu wahamiaji wawili zaidi kushuka kwenye meli ya uokozi ya Ujerumani ya Sea-Watch

https://p.dw.com/p/3LJPa