1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.06.2018 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S29 Juni 2018

China inakusudia kujihusisha zaidi katika shughuli za kijeshi na kwa ajili hiyo imewaalika wakuu wa majeshi wa Afrika kwenye mkutano mjini Beijing// Ujerumani imewarejesha waomba hifadhi 4,100 kati ya mwezi Januari hadi mwishoni mwa mwezi Mei kwenye mataifa ya Ulaya walikosajiliwa awali.

https://p.dw.com/p/30WFC