1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.06.2016 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S29 Juni 2016

Kura ya maoni ya Uingereza ambapo asili mia karibu 52 wameamua kujitoa katika Umoja wa Ulaya inatishia kuitumbukiza nchi hiyo katika hali isiyokadirika kiuchumi miaka inayokuja// Uchumi wa Kenya umeathiriwa kwa kiwango kikubwa kutokana na bidhaa bandia zinazoingia au kutengenezwa nchini humo// Waumini wa dini ya kiislamu wako katika siku kumi za mwisho za mfungo mtukufu wa Ramadhani.

https://p.dw.com/p/1JFML