1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.05.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S29 Mei 2020

Tanzania: Mahakama yamtia Zitto Kabwe hatiani// Rais Donald Trump wa Marekani amewaita ´vibaka´ waandamanaji mjini Minneapolis wanaolaani kifo cha mmarekani mweusi// DR Congo: Wanajeshi wa FARDC pamoja na MONUSCo wawakabili waandamanaji na kuepusha maafa zaidi// Brazil imeripoti visa zaidi ya 26,000 vya  maambukizi ya virusi vya corona kwa siku.

https://p.dw.com/p/3cxhe