Nchi kumi na sita zinazounda jumuia ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC zinajadili uwezekano wa kuondoa vikwazo mipakani kutokana na janga la virusi vya corona/ Rais Museveni azusha gumzo, lini uchaguzi utafanyika Uganda?/ Rais Donald Trump wa Marekani amewaita ´vibaka´ waandamanaji mjini Minneapolis wanaolaani kifo cha mmarekani mweusi/ Umoja wa Mataifa waomba msaada wa dola bilioni 2.4 kwa Yemen