1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.05.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S29 Mei 2020

Afrika- Janga la kirusi cha Corona linazuia vita dhidi ya Malaria na kifua kikuu/ Nigeria- Hatua ya kuzuia usafiri ili kukabiliana na usambaaji wa virusi vya corona imeitoa jini kwenye chupa// Kifo cha msanii kijana kwenye gereza moja nchini Misri kimelitikisa taifa hilo la kaskazini mwa Afrika// Kenya inaendesha mpango wa upimaji wa virusi vya corona kwa umma katika eneo kubwa kabisa la mabanda.

https://p.dw.com/p/3cxAM