1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.05.2019 Matangazo ya Jioni

TSA / S08S29 Mei 2019

Leo ni siku ya kuwakumbuka walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa// Kenya-Mchakato wa kuchagiza kura ya maoni umeanza rasmi// Kenya- Suala la makazi miongoni mwa wakazi wa mijini limepewa kipao mbele katika mkutano wa kikao cha kwanza cha baraza la Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu makazi,UN Habitat, unaoendelea jijini Nairobi// Rais wa Comoro Azali Assoumani amewaachia huru wafungwa 17 wa kisiasa.

https://p.dw.com/p/3JTMq