1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.05.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S29 Mei 2018

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanajeshi wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa, huku kaulimbiu ya mwaka huu wa 2018 ikisema: ''Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa: Miaka 70 ya Huduma na Kujitolea''// Wanamgambo wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza wamevurumisha makombora kadhaa kusini mwa Israel mapema leo.

https://p.dw.com/p/2yWoJ