29.05.2018 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 29.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

29.05.2018 Matangazo ya Asubuhi

Wapinzani nchini Libya wanakutana leo Jumanne mjini Paris, Ufaransa kufanya mazungumzo yanayotarajiwa kutafuta njia za kusuluhisha mkwamo wa kisiasa// Mshindi wa Tuzo Mbadala ya Nobeli mwaka 2013, Dokta Denis Mukwege kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ametaka kuundwa kwa serikali ya mpito itakayokuwa ya wataalamu kutoka asasi za kiraia nchini humo.

Sikiliza sauti 51:59