1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.01.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S29 Januari 2021

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeutuhumu utawala wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Felix Tshisekedi kwa kuwatisha waandishi habari na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu/ Leo wanasheria nchini Tanzania wanahitimisha maonesho ya wazi ya utoaji wa huduma za kisheria katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini humo ambayo hufanyika kila mwaka.

https://p.dw.com/p/3oYyO