1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.10.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S28 Oktoba 2021

Kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kusikilizwa leo Alhamisi Oktoba 28, 2021+++Burhan awaondoa mabalozi 6 kwa kukosoa mapinduzi Sudan+++Lazima Taiwan iwe tayari kujilinda yenyewe na haiwezi kutegemea tu nchi nyingine kuisaidia iwapo China itashambulia+++Iran kuanza tena mazungumzo ya nyuklia.

https://p.dw.com/p/42Igh