1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.10.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S28 Oktoba 2019

HRW: Ukandamizaji wa serikali ya Tanzania dhidi ya vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani umeongezeka tangu mwaka 2015/ Kiongozi wa kundi la magaidi la IS ameuliwa/ Muda wa mwisho uliowekwa na serikali ya Kenya kwa walowezi wa msitu wa Mau kuuhama ukikaribia, jamii ya Ogiek imeanza juhudi za kupanda miche ya miti asili/ Chama cha Die Linke chashinda Thuringia

https://p.dw.com/p/3S3g5