1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.10.2016 Matangazo ya asubuhi

V2 / S12S28 Oktoba 2016

Mwaka mmoja tangu kufutwa kwa uchaguzi mkuu Visiwani zanzibar// Serikali nchini Kenya imetangaza hali ya hatari katika kaunti ya Mandera na kuamuru masaa ya kutotoka nje kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni hadi saa kumi na mbili unusu asubuhi// Wiki jana rais wa Urusi Vladimir Putin alipanga kuzuru mji mkuu wa Ufaransa-Paris, lakini badala yake akaja Berlin-Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2RobL