1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.08.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S28 Agosti 2017

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameanza ziara yake ya kwanza nchini Israel na Palestina// Waislamu milioni mbili kutoka duniani kote wanakusanyika hii leo katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya hajji// Utekelezaji wa hatua ya serikali ya Kenya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki unaanza rasmi hii leo.

https://p.dw.com/p/2ixgG