1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.05.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Mei 2019

Viongozi 28 wa Umoja wa Ulaya wanakabailiwa na mabishano makali leo usiku kuhusu nani anastahiki kuongoza taasisi muhimu za jumuia yao kwa kipindi cha miaka mitano// Sudan-Muungano wa upinzani na makundi ya waandamanaji waliandaa siku yao ya kwanza ya mgomo hii leo// Uganda imetaja hatua ya Ujerumani kusitisha misaada ya wakimbizi ya moja kwa moja kwa serikali kuwa pigo kubwa kwa mikakati yake.

https://p.dw.com/p/3JLeO