Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Hali katika kambi za wakimbizi wa Burundi// Jarida la Forbes limemtaja Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kuwa mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka wa tisa mfululizo// Polisi visiwani Zanzibar wameimarisha operesheni yao ya kupambana na matukio ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanawake