1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.04.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Aprili 2021

Maandamano yamefanyika kwa siku ya pili mfululizo nchini Chad/ Wazanzibari wahimizwa kudumisha amani/ Wakimbizi 3,000 DRC wajificha bondeni kufuatia mashambulizi/ Kenya: Vifo kufuatia uunganishaji wa umeme kwa njia haramu/ Merkel ametoa wito wa kuanza tena kwa mazungumzo na China kuhusu haki za binaadamu

https://p.dw.com/p/3shZT