1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.04.2020 Matangazo ya Mchana

TSA / S08S28 Aprili 2020

Maambukizi ya virusi vya corona yapindukia watu milioni 3 duniani// Human Rights Watch yaitaka Uganda kuchunguza ukatili wa polisi// Mamilioni ya watu waliolazimika kuyahama makaazi yao kutokana na mafuriko, vimbunga na vita sasa wanakabiliwa na hatari ya kuzongwa na janga la virusi vya corona// Viongozi wataka kuwe na utaratibu mkali kuyalinda mazingira.

https://p.dw.com/p/3bVhi