28.04.2018 Taarifa ya habari asubuhi | Anza | DW | 28.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

28.04.2018 Taarifa ya habari asubuhi

Rais Trump na Kansela Merkel wasisitiza umuhimu wa amani licha ya tofauti zilizopo baina yao // Marekani yawakosoa washirika wa NATO kwa kutopiga hatua katika kutimiza ahadi zao za bajeti za ulinzi // Na aliyekuwa rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf apokea tuzo ya Mo Ibrahim

Sikiliza sauti 07:59