Kenya-NASA ina nini cha ziada ambacho upinzani haukuwa nacho katika uchaguzi wa 2013 ambao uliupoteza?// Nchini Tanzania, watetezi wa haki za binaadamu hivi leo wameadhimisha miaka minne ya taasisi yao ambayo inaunganisha asasi kadhaa za kiraia zinazopigania haki za binaadamu na utawala bora// Umoja wa Ulaya na Uturuki zinakutana hivi leo nchini Malta kusaka njia za kumaliza mvutano kati yao.