Viongozi wa juu kabisa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA wamelala rumande jijini Dar es Salaam baada ya kunyimwa dhamana kutokana na mashitaka yanayowakabili// Vyombo vya habari vya serikali ya China na vile vya Korea Kaskazini vimethibitisha kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekutana na rais wa China Xi Jinping mjini Beijing.