Rais Joao Lourenco wa Angola ameanzisha wimbi la kuwakamata watuhumiwa wa ufisadi, ambalo limewakumba vigogo wa serikali iliyopita ya Jose Edouardo dos Santos// Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inasema itaendelea kuhakikisha kiswahili kinakuwa na nafasi yake katika kuunganisha wakaazi wa jumuiya hiyo na hata sehemu za mbali.