Maaskofu wa Kanisa Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wamejiondoa katika kupatanisha mazungumzo ya kitaifa nchini humo kati ya serikali na wapinzani// Ikiwa imebakia takriban miezi minne kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Kenya, Muungano wa National Super Alliance, NASA bado haujatangaza jina la mgombea wake katika kinyang'anyiro cha urais.