Vyombo vya usalama nchini Kenya vimesema vimejiandaa vya kutosha kukabiliana vitendo vya uvunjifu wa usalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe tisa Agosti mwaka huu+++Rwanda itaufungua mpaka wake na Uganda siku ya Jumatatu+++Tanzania- Mahakama Kuu leo imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia.