Serikali ya Tanzania imewataka wafanyabiashara wadogo kutumika katika kustawisha uchumi wa taifa hilo la Afrika Mashariki kwa kufanya biashara kwa njia halali badala ya kutumika katika maandamano kadhalika kukwepa kodi/ Muungano wa waalimu nchini Kenya, KUPPET, unaitaka serikali iwape walimu wanaotumwa kufanya kazi maeneo tete, mafunzo ya kiusalama pamoja na kuwapatia bunduki ili waweze kujilinda.