1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.01.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S28 Januari 2020

Mpango wa rais Donald Trump kuhusu Mashariki ya kati umekosolewa na Wapalestina// Miaka 75 baada ya kambi ya mauti ya Auschwitz kukombolewa nchini Poland, bado Mayahudi barani Ulaya wanakabiliwa na changamoto na hawajihisi kama wako salama// Serikali ya jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo imetangaza mpango wakuanzishwa kwa kazi za uchumbaji wa Gesi ndani ya ziwa kivu.

https://p.dw.com/p/3Wu30