Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Liberia kufuatia duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyoendeshwa kwa amani jana// Serikali ya Tanzania itashirikiana na UNHCR kuanza uhakiki wa wakimbizi wa muda mrefu kutoka Burundi ili kuwapatia suluhisho la kudumu.