Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa kuanzia leo inalegeza rasmi masharti kwa wageni wanaotaka kuingia nchini humo ambao watakuwa tayari wametimiza masharti ya COVID-19.
Serikali kuu pamoja na idadi kubwa ya serikali za majimbo 16 ya Ujerumani zimekubaliana kurefusha muda wa kufunga shughuli za kimaisha hadi Januari 31 ili kudhibiti kusambaa kwa virusi hivyo.
Wakati ulimwengu unaingia mwaka wake wa tatu tangu ugonjwa wa Covid-19 kutangazwa kuwa janga la ulimwengu, je ni kwa kiasi gani janga hilo limeathiri maisha ya watu ulimwenguni kote?
Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limetoa mwito kwa mataifa ya Ulaya kuzingatia zaidi suala la afya kuliko ilivyokuwa kabla ya janga la virusi vya corona.