1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.11.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Novemba 2018

Wakati mzozo mpya wa Urusi na Ukraine ukiendelea kugonga vichwa vya habari na jumuiya ya kimataifa ikitoa wito wa kumalizwa kidiplomasia, mahakama katika eneo lililonyakuliwa na Urusi la Crimea imeamuru kuwekwa kizuizini kwa miezi miwili kundi la wanajeshi 24 waliokamatwa na Urusi.

https://p.dw.com/p/390gu