27.10.2017 Matangazo ya Mchana | Habari za Ulimwengu | DW | 27.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

27.10.2017 Matangazo ya Mchana

Huku kura zikiendelea kuhesabiwa nchini kenya, kumeripotiwa idadi ndogo ya wapiga kura walioshiriki katika marudio ya uchaguzi wa urais hapo jana, hii ikiwa thuluthi moja ya wapiga kura hao ikilinganishwa na uchaguzi wa awali wa Agosti 8.// Mwaka mmoja baada ya kutangaza azma ya kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu(ICC), hatimaye Burundi imejiondoa rasmi jana.

Sikiliza sauti 60:00