27.09.2021 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

27.09.2021 Matangazo ya Asubuhi

Vyama Ujerumani kuanza mazungumzo kuunda serikali ya mseto/ Olaf Scholz: Msosho Demokrat myakinifu anaeuchungulia ukansela/ Uhariri: Wajerumani wachagua mabadiliko/ Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumalizika bila viongozi wa Myanmar na Afghanistan/ Serikali ya Kenya na Sudan Kusini zimeanzisha mazungumzo kwenye mpaka baina yao kwa nia ya kupata suluhisho la mgogoro

Sikiliza sauti 60:00