"Bila ya Marekani kuondoa vikwazo , hatutashuhudia maendeleo yoyote yenye manufaa," Rouhani alisema katika hotuba aliyoitoa kwa njia ya televisheni, leo// Brazil jana imekataa msaada wa kifedha wa dola milioni 20 wa kusaidia kuzima moto unaowaka katika msitu wa Amazon kutoka kundi la mataifa saba yenye uchumi mkubwa wa viwanda (G7).