Viongozi wa G7 waapa kuisaida Ukraine "bila kuchoka"/ Jumuiya ya Kujihami ya NATO itaongeza nguvu zake za kijeshi mara nane hadi kufikia wanajeshi 300,000/ Mahakama muhimu afrika zakutana visiwani Zanzibar/ Sudan na Ethiopia zatupiana shutuma tena-nini chanzo?/ Lisbon: Kongamano la kuokoa bahari lafunguliwa rasmi