Ukraine- Zelensky aishtumu Urusi kwa kufanya mauaji ya halaiki+++Uganda yatishia kuwafukuza wafanyakazi wa afya wanaogoma+++Uchaguzi wa Rais mpya wa chama cha Mawakili Tanganyika TLS umefanyika leo mjini Arusha, kaskazini mwa Tanzania+++Mchakato wa maandalizi ya zoezi la Sensa ya watu na makazi unaendelea nchini Tanzania, huku wanahabari wakielezwa kuwa sensa ya mwaka huu ni ya kipekee.