1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.05.2022 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S27 Mei 2022

Viongozi wa Umoja wa Afrika wanatarajiwa kufanya mikutano miwili ya kilele mjini Malabo Guinea ya Ikweta leo na kesho+++Nchi zinazokutana katika mkutano wa Shirika la Afya Duniani WHO mjini Geneva Uswisi, zinajadili jinsi ya kujiandaa kukabili majanga yanayoweza kutokea siku zijazo+++Kundi la Al Shabab lenye mafungamano na kundi la Al-Qaeda linaendelea kuwa kitisho kwa serikali mpya ya Somalia.

https://p.dw.com/p/4BvwH