1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.05.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Mei 2020

Jumuiya ya kimataifa imetenga kiasi cha shilingi bilioni 2.3 kwa ajili ya kuwawezesha wanasayansi wa Afrika kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa COVID-19/ Uchaguzi wa Rais Burundi: Kanisa Katoliki labainisha hitilafu/ Watoto Afrika Magharibi hatarini kukosa elimu/ Shughuli za usafirishaji wa mizigo eneo la Busia kati ya Kenya na Uganda zimerejea/Umoja wa Ulaya unazinduwa mpango wake mkubwa wa uokozi

https://p.dw.com/p/3cq4X