27.05.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 27.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

27.05.2020 Matangazo ya Asubuhi

Merkel ameubadili utaratibu wa muda mrefu wa Ujerumani kutounga mkono mkopo wa ushirikiano, na badala yake wiki iliyopita alizindua mpango wa pamoja wa mfuko wa fedha wa deni la pamoja wa Umoja wa Ulaya/ Togo imejikuta kwenye uwanja mpya katika kupambana na ugaidi kwenye kanda ya Sahel/ Ripoti inayofafanua hali ya kutegemeana kwa watu na mazingira katika sayari dunia

Sikiliza sauti 51:59