1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.04.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S27 Aprili 2018

Viongozi wa Korea Kaskazini na Korea Kusini wamefanya mkutano wa kilele na ambao ni wa kihistoria// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel leo anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump katika ikulu ya White House// Kumekuwako na mjadala unaoendelea nchini Kenya kwamba huenda nchi hiyo ikaitisha kura ya maoni mwishoni mwa mwaka 2020 kuhusu marekebisho ya katiba.

https://p.dw.com/p/2wmol