Serikali ya Kenya imemuweka kizuizini na wanataka kumrejesha nchini Canada kwa mara nyingine mwanasiasa wa upinzani Miguna Miguna pamoja na amri ya mahakama kumruhusu kuingia nchini humo/ Mji Mkuu wa China Beijing, ulikuwa chini ya usalama mkali leo, huku kukiwa na uvumi kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un alikuwa anafanya ziara ya kustukiza, kufuatia ripoti za kuwasili kutoka Pyongyang